Random Posts

PINDA AKUTANA NA WADAU WA CDA DODOMA

PG4A5275 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wadau wa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA) mjini Dodoma Sep12,2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A5278Baadhi ya washiriki wa  Mkutano  wa   wadau wa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA) wakimsikiliza Waziri Mkuu, MIzengo Pinda wakati alipozungumza nao mjini Dodoma Sep12,2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)