Random Posts

SHEREHE YA HARUSI YA VICTOR NA LYIDIA ILIVYOFIKIA TAMATI





 Maharusi wakijiandaa kukata keki.
 Hapa wakilishana keki.
 Wapambe wakipeleka keki kwa wazaizi wa bwana harusi.
 Wazazi wa bwana harusi wakipokea keki.
 Bibi harusi akienda kuketi katika eneo lake baada ya kuwakabidhi keki wakwe zake.
 Victor akiwatambulisha wageni wake kwa waalikwa.
 Bibi harusi akimeremeta na gauni lake la bei mbaya na la aina yake.
 Victor akiwatambulisha wafanyabiashara wenzake.
 Victor na wafanyabiashara wenzake wakifungua shampeni.
 Mfanyabiashara mwenzake na Victor Charles Mlawa akimimina shampeni kwa wazazi wa bwana harusi.

Mmmm wamuona Lidya? Iga uone!
 Mfanyabiashara mwenzake na Victor Charles Mlawa akimimina shampeni kwa bwana harusi.
 Victor akiteta jambo na mfanyabiashara mwenzake.
Mmmm ni raha tupu
 Bwana Rugemalira akifurahia na wageni waalikwa kwenye sherehe hiyo
 Prof. Tibaijuka akimpongeza Victor

 Wageni waalikwa wakiserebuka
Victor na mkewe Lydia

PICHA ZOTE KWA HISANI YA WWW.HABARI ZA JAMII.COM