Random Posts

BINGWA WA DUNIA WA MASUMBWI UZITO WA JUU MKANDA WA WBC APOTEZA MKANDA

 Bondia-Joshua  Anthony (kushoto),akimsukumia konde zito,mpnzani wake Denis Bakhtov (kuria)katika roundi ya pili2 Denis alikuwa hoi hivyo refarii alisimamisha pambano.
 Anthony (kushoto)akiendelea kushusha mkongoto makali dhidi ya mpinzani wake Bakhtov,ambaye katika round 2 alishindwa kuendelea na pambano.
 Referee, Akisimamisha pambano hilo kumuokoa  Bakhtov asiendelee kupokea kipigo katika round ya2,Bakhtov ni bondia ambaye alikuwa hajawahi kupoteza pambano lolote katika miaka kumi-10,
 Anthony Joshua akishangilia ushind wake nakutawazwa kuwa Bingwa wa Dunia wa uzito wa juu ,mkanda waWBC-I ntanational Heavyweight,JOshua amepigana mapambano 9 na kushinda yote 9 -umri wake ni 18 bado kijana mdogo katika mbio zake za mafanikio katika medani ya masumbwi Duniani.

Post a Comment

0 Comments