Malala Yousafzai (kuria)akizungunza na waandishi wa habari,mala baada ya kutunukiwa nishani ya amani katika ukumbi wa Birmingham liblary.
Malala ,akiwa na familia yake,aliye nyuma yake,anaonekana kwa upande ni Baba yake Yousafzai Ziauddin ,wakati wa kutunukiwa nishani hiyo ya heshima2014.
Hapa Malala akiongea jambo na waandishi,hawapo pichani mala baada ya kutangazwa mshindi wa tuzo ya amani Duniani2014.
Malala Yousafzai akiongea kwa utani kwamba yeye anaogopa sana mimbari(jukwaa),kwasababu ni refu kumpita yeye,hapa alikuwa anazungumza na wana habari kutoka mataifa mbalimbali Duniani.
Birmingham-Uingereza
Binti wa ki-Pakistan Malala Yousafzai 17
umri,atunukiwa tuzo ya amani Nobel Prize ,na kuwa ni binti wa kike wa
kwanza kutunukiwa nishani ya amani Duniani.Binti huyo wa Kipakistani ana
historia ndefu katika maisha yake amepitia misukosuko mingi ikiwamo jaribio la
kutaka kumu-uwa lililofanywa na kundi la Telebani mika miwili iliyopita,Malala
ni mwanaharakati wa kutetea haki za watoto kupata elimu sawa,bila kubagua jinsia na hasa kwa watoto wa
kike kupata elimu sawa na watoto wa kiume, katika nchi yake mtoto
wa kike aruhusiwi kusoma elimu ya kisasa yaani elimu dunia, ,bali
anaruhusiwa kusoma elimu ahera yaani elimu ya dini ambayo ni uislaam tu!,mtoto
wa kike huchukuliwa kama ni mtu wa kuolewa pindi atakapofikisha umri ,kwa hiyo
mtu yeyote au taasisi yeyote ile inayosomesha mtoto wa kike uhesabiwa uhes unapingabiwa inaenda kinyume, na
mafundisho ya dini na hivyo kuwa katika
hatari ya kushambuliwa na namakundi yenye imani kari ya dini ya ki-islaam, ,.Malala
aliendesha harakati zake akiwa Pakistani akihamasisha wazazi kuwapeleka watoto
wao wa kike iliwapate elimu bora ya Dunia, kitu kilichofanya apate ujumbe wa
fitisho vya kuu wawa, kutoka katika makundi yenye imani kari za dini ya
kiislaam likiwemo kundi la Talibani,matokeo ya vitisho hivyo ,alishambuliwa,kwa
kupigwa risasi k Birmingham-Uingereza Binti wa ki-Pakistan Malala Yousafzai 17 umri,atunukiwa tuzo ya
amani Nobel Prize ,na kuwa ni binti wa kike wa kwanza kutunukiwa nishani ya
amani Duniani.Binti huyo wa Kipakistani ana historia ndefu katika maisha yake
amepitia misukosuko mingi ikiwamo jaribio la kutaka kumu-uwa lililofanywa na
kundi la Telebani,Malala ni mwanaharakati wa kutetea haki za watoto kupewa haki
sawa,na hasa kwa watoto wa kike kupata elimu sawa na watoto wa kiume katika
nchi yake na hakihasa masomo ya elimu
dunia ,bali anaruhusiwa kusoma elimu ahera yaani elimu ya dini ambayo ni
uislaam tu!,mtoto wa kike huchukuliwa kama ni mtu wa kuolewa pindi
atakapofikisha umri ,kwa hiyo mtu yeyote au taasisi yeyote ile inayosomesha
mtoto wa kike uhesabiwa kwamba wewe unapingana na mafundisho ya dini na kwenda
kinyume kitu ambacho husababisha kuzuliwa ikiwamo kifo,.Malala aliendesha
harakati zake akiwa Pakistani akihamasisha wazazi kuwapeleka watoto wao wa kike
iliwapate elimu bora ya Dunia, kitu kilichofanya apate ujumbe wa fitisho vya
kuuwawa kutoka katika makundi yenye imani kari za dini ya kiislaam likiwemo
kundi la Talibani,matokeo ya vitisho hivyo alipigwa risasi na kukimbizwa
Uingereza kupata matibabu,Malala kwa sasa anaishi nchini Uingereza na anasoma
Birmingham katika shule ya Edgbaston,na anasoma masomo ya sayansi hasa somo la kemia(Chemistry),mpaka
anatunukiwa nishani ya heshima kabisa ya juu ya amani jana ijumaa alikuwa hajui
nini kinaendelea juu yake alishangaa mwalimu wake mala baada ya vipindi kuisha
anachukuliwa na mwalimu nje ya darasa na kuambiwa wewe kuanzia sasa wewe ndie
mshidi wa tuzo ya Amani ya mwaka2014,nae akiongea na waandishi wa habari kutoka
mataifa mbalimbali waliokusanyika katika ukumbi wa liblary ya Birmingham wakiwa
na shauku kubwa ya kumsikiliza mshindi huyo,Alianza kwa kusema kwanza kabisa
shukrani zangu za dhati zimwendee Baba yangu ambae hakunibana mabawa katika
harakati zangu za kutetea haki sawa kwa watoto wa jinsia zote kupata elimu,Baba
alinipa uhuru na mimi nikawa napaa angani nitakavyo alisema Malala wakati
anaongea na waandishi kutoka mataifa mbalimbali Duniani,Malala akionekana
mwenye furaha aliwachesha watu aliposema kwa utani kwamba yeye anaogopa zaidi
jukwaa kwasababu ni lefu zaidi yake ,pia alisema anajiona na mtu mwenye heshima
kubwa kuchaguliwa kuwa mshindi wa heshima wa amani,anajivunia kuwa binti mdogo
kuwa wa kwanza kutunukiwa nobel prize,pia kuwa mpakistani wa kwanza ,mwana-mke
mdogo wa kwanza,na kwamba nishani aliyotunukiwa leo sio ya kuweka ukutani
kwenye nyumba au ndio imfanye apumzike na haki kwa watoto wa kikea
kulidhika,bali inamfanya kuongeza juhudi zaidi katika harakati zake za kutete
wa lengo la kumuuwa na kundi la
Talibani miaka 2 iliyopita,na kukimbizwa Uingereza kupata matibabu,Malala kwa
sasa anaishi nchini Uingereza na anasoma Birmingham katika shule ya
Edgbaston,na anasoma masomo ya sayansi
hasa somo la kemia(Chemistry),mpaka anatunukiwa nishani ya heshima
kabisa ya juu ya amani, jana ijumaa alikuwa hajui nini kinaendelea juu yake,
alishangaa mwalimu wake mala baada ya vipindi kuisha akashangaa mwalimu wake wa
darasa, nje ya darasa ,na kuambiwa wewe
kuanzia sasa umetunukiwa tuzo ya Amani ya mwaka2014,nae akiongea na waandishi
wa habari kutoka mataifa mbalimbali waliokusanyika katika ukumbi wa liblary ya
Birmingham, wakiwa na shauku kubwa ya kumsikiliza, mshindi huyo,Alianza kwa
kusema kwanza kabisa shukrani zangu za dhati zimwendee Baba yangu’ ambae
hakunibana mabawa katika harakati zangu za kutetea, haki sawa kwa watoto wa
jinsia zote kupata elimubila ubaguzi wa kijinsia,,Baba alinipa uhuru na mimi
nikawa napaa angani nitakavyo alisema Malala wakati anaongea na waandishi
kutoka mataifa mbalimbali Duniani,Malala akionekana mwenye furaha aliwachesha
watu aliposema kwa utani kwamba yeye anaogopa zaidi jukwaa kwasababu ni lefu
zaidi yake ,pia alisema anajiona na mtu mwenye heshima kubwa’ kuchaguliwa kuwa
mshindi wa heshima wa amani,anajivunia kuwa binti mdogo kuwa wa kwanza
kutunukiwa nobel prize,pia kuwa mpakistani wa kwanza ,mwana-mke mdogo wa
kwanza,na kwamba nishani aliyotunukiwa leo sio ya kuweka ukutani kwenye nyumba
au ndio imfanye apumzike,hapana bali ndio kwanza nazidisha ,harakati kwa watoto wa kikea kupata elimu sawa na ile
anayopata mtoto wa ki-ume,



0 Comments