Hague-Mwili wa abiria mmoja aliyekuwa katika ndege ya
shirika la ndege ya Malaysia(MalaysiaAirline,amegundulika akiwa amevaa vifaa
maalumu va ogyjeni ,
Hii inaonyesha yawezekana abiria walijua kwamba tayari
ndege waliyokuwemo imetunguliwa.
Waziri wa mambo ya nje Frans ameiambia Televisin
ya Taifa.Ndege ya abilia ya Malaysia ilituguliwa ikiwa angani wakati inapita
mpakani mwa Ukraine ambapo kuna vita
vinaendelea kati ya waasi na majeshi ya serikali.
Habari hii ni kwa hisani ya mtandao wa Yahoo.

0 Comments