UMOJA NI NGUVU_Mwanamke wa Kikurudi na mwanae akiwa na bunduki aina ya AK-47 Tayari kuwakabili wapigaji wa Dola ya kiislam wasiuteke mji wao kobane asubuhi ya leo
Jengo la gorofa likionekana kileleni bendera ya kundi la Isis ikipepea,katika mji wa kobane,tukio hili limefanya kobane nzima kutaharuki.
Moshi mkubwa angani hii ni baada ya mashambulizi ya anga yakilenga sehemu ambazo inasemekana wapigaji wa Isis wamejificha.
UTURUKI_Waturuki wakijipiga picha mpakani kama kumbukumbu ,nyuma yao unaonekana moshi ukipaa angani baada ya ndege za kivita za marekani kufanya mashambulizi ya Anga.
Wana_nchi wakituruki wanaoishi mpakani na Syiria,wamekuwa wajijitokeza kwa wingi kushuhudia mapigano yanavyoendelea hasa jinsi jamii ja wakurudi walivyojitokeza wote bila kujari jinsia umri nakubeba siraha kuulinda mji wao usitekwe na Isis.
Wa_Turuki wakiangalia kwa mbali mapgano na hasa ndege za marekani zinavyofanya mashambulizi ya anga.
Mturuki akipiga picha kwa mbaali
Mpiganaji wa Dola ya Ki_islaam akiwa na siraha yake mkononi,alikuwa akiongea kwamba mafaniko yao yanatokana na uwezo waliopewa na Alah,na kwamba hakuna wakuwazuia kuuteka mji wa kobane muda si_mrefu,na kuwateketeza makafiri wote.
Wapiganaji wa ISIS wakiwa juu ya miinuko katika harakati zao za kuuteka mji wa kobane
Waturuki wakiangalia kwa mbaali mapigano kati ya kabira la wakurudi dhidi ya Isisasubuhi ya leo










0 Comments