Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed
Shein (kulia) akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya
Mashariki Mhe,Augustino Mahiga alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa
mazungumzo.
[Picha na Ikulu.]17/06/2016.
[Picha na Ikulu.]17/06/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akifuatana na Waziri wa Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Mhe,Augustino Mahiga baada ya mazungumzo yao leo alipofika
Ikulu Mjini.
[Picha na Ikulu.]17/06/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akiagana na Waziri wa Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Mhe,Augustino Mahiga alipofika
Ikulu Mjini Zanzibar leo baada ya mazungumzo yao.
[Picha na Ikulu.]17/06/2016.
[Picha na Ikulu.]17/06/2016.


