Naibu Spika Dkt Tulia Ackson akisalimiana na
Kiongozi wa Msafara wa Ujumbe wa Wabunge wa Kamati ya Mambo ya Nje kutoka Bunge la China ambaye pia ni Makamu
Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Zhang Haiyang
wakati alipofanya mazungumzo na Kamati hiyo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Naibu Spika Dkt Tulia Ackson akizungumza na Ujumbe
wa Wabunge wa Kamati ya Mambo ya Nje
kutoka Bunge la China kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Zhang Haiyang ambaye pia ni Kiongozi wa
Msafara huo.
Kiongozi wa Msafara wa Ujumbe wa
Wabunge wa Kamati ya Mambo ya Nje kutoka
Bunge la China ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Zhang Haiyang (katikati) akisanini Kitabu cha
Wageni alipomtembelea Naibu Spika Dkt Tulia Ackson ofisini kwake Bungeni Mjini
Dodoma.
Kiongozi wa Msafara Ujumbe wa
Wabunge wa Kamati ya Mambo ya Nje kutoka
Bunge la China ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Zhang Haiyang akimkabidhi Naibu Spika Dkt Tulia Ackson zawadi
mara baada ya kuzungumza nae ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.
Naibu Spika Dkt Tulia Ackson akiangalia
zawadi aliyopewa na na Kiongozi wa
Msafara Ujumbe wa Wabunge wa Kamati ya Mambo ya Nje kutoka Bunge la China ambaye pia ni Makamu
Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Zhang Haiyang
mara baada ya kuzungumza nao ofisini
kwake Bungeni Mjini Dodoma.
(Picha
na Ofisi ya Bunge)




