Random Posts

YANGA WA "KIMATAIFA" WAIBAMIZA MO BEJAIA, MATUMAINI YAREJEA KWENYE MICHUANO YA KUWANIA KOMBE LA SHIRIKISHO CAF

 Kiokosi cha Yanga, kilichomenyana na Mo Bejaia ya Algeria kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho CAF hatua ya makundi kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam Agosti 13, 2016. Yanga hatimaye iliambulia ushindi wa kwanza tangu michuano hiyo ianze kwa kuichapa timu hiyo "dhaifu" bao 1-0. 
(PICHA NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID)