Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali kwa ajili
ya Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) ikitua katika uwanja wa ndege wa kimataifa
wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada
ilikotengenezwa. Sherehe za uzinduzi rasmi wa ndege hizo umepangwa kuganyika
kesho Jumatano Septemba 28, 2016 hapo hapo uwanjani.
Ndege ya
pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege
la Taifa (ATCL) ikipata Saluti ya maji (Water Canon Salutation) mara tu baada
ya kutua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam
leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa. Sherehe za uzinduzi
rasmi wa ndege hizo umepangwa kuganyika kesho Jumatano Septemba 28, 2016 hapo
hapo uwanjani.
Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya
Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) ikiegeshwa karibu na pacha wake iliyofika wiki
moja uliopita katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere
jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa.
Sherehe za uzinduzi rasmi wa ndege hizo umepangwa kuganyika kesho Jumatano
Septemba 28, 2016 hapo hapo uwanjani.
Katibu Mkuu
Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho na viongozi wengine wakielekea kwenye Ndege
ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la
Ndege la Taifa (ATCL) ilipowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada
ilikotengenezwa. Sherehe za uzinduzi rasmi wa ndege hizo umepangwa kuganyika
kesho Jumatano Septemba 28, 2016 hapo hapo uwanjani.
Katibu Mkuu Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho akisalimiana
na nahoda wa John Kuipers aliyeeendesha Ndege ya pili ya Bombadier Q400
iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) na
kuiwasilisha salama katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere
jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa.
Sherehe za uzinduzi rasmi wa ndege hizo umepangwa kuganyika kesho Jumatano
Septemba 28, 2016 hapo hapo uwanjani.
Katibu
Mkuu Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho akikagua Ndege ya pili ya
Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Taifa
(ATCL) mara ilipotua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada
ilikotengenezwa.
Katibu Mkuu
Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa ATCL
Mhandisi Ladislaus Matindi pamoja na maafisa wengine wakiwa katika Ndege ya
pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege
la Taifa (ATCL) mara ilipotua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada
ilikotengenezwa.
Katibu
Mkuu Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho na Afisa Mtendaji Mkuu wa ATCL Mhandisi
Ladislaus Matindi wakitelemka baada ya kuikagua Ndege ya pili ya Bombadier Q400
iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) mara
ilipotua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar
es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa.
Katibu
Mkuu Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho akimpa pongezi nahoda wa
John Kuipers aliyeendesha aliyeendesha Ndege ya pili ya Bombadier
Q400 iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Taifa (ATCL)
mara ilipotua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere
jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa.
Nahoda
John Kuipers na Nahodha Owen Davies walioendesha Ndege ya pili ya
Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Taifa
(ATCL) wakifurahia mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada
ilikotengenezwa.
PICHA NA IKULU

0 Comments