Spika
wa Bunge Mhe Job Ndugai akisalimiana na
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana alipomtembelea katika Ofisi Ndogo za CCM zilizopo Mtaa wa Lumumba
Jijini Dar es Salaam.
Spika
wa Bunge Mhe Job Ndugai akiwasili katika
Ofisi Ndogo za CCM zilizopo Mtaa wa Lumumba Jijini Dar es Salaam alipofika
kuzungumza na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana .
Spika
wa Bunge Mhe Job Ndugai
akimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama cha
Mapinduzi Abdulrahman Kinana alipomtembelea
na kuzungumza naye katika Ofisi Ndogo za
CCM zilizopo Mtaa wa Lumumba Jijini Dar es Salaam.
Spika
wa Bunge Mhe Job Ndugai (katika) akiwa
katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman
Kinana (kushoto) na Msemaji wa CCM
Christopher Ole Sendeka (kulia) wakati alipomtembelea Katibu Mkuu wa CCM.
Spika
wa Bunge Mhe Job Ndugai akiagana na Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka
mara baada ya kuzungumza na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana katika
Ofisi Ndogo za CCM zilizopo Mtaa wa Lumumba Jijini Dar es Salaam.
(Picha na Ofisi ya Bunge)





0 Comments