Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akisalimiana na
Mbunge wa Hai Mhe. Freeman Mbowe, walipokutana katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akijadiliana jambo na
Mbunge wa Hai Mhe. Freeman Mbowe, walipokutana katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), ikiwa ni mkakati wa kuupatia ufumbuzi mgogoro
kati ya wananchi wanaozunguka uwanja huo na kampuni inayouendesha ya KADCO.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akifafanua jambo kwa
Mbunge wa Hai Mhe. Freeman Mbowe, walipokutana katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).
Imetolewa na Kitengo
cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano

0 Comments