Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein akimkabidhi picha ya kuchora Mmiliki na
Mkurugenzi wa Kampuni ya Pennyroyal inayojenga Hoteli Kubwa ya Kimataifa
huko Matemwe Kaskazini Unguja Bw.Brian Thomson (kulia) iliyonadishwa
na kuinunua kwa Shilingi za Kitanzania Milioni nane(8) pia akiwa amechangia Shilingi Miliion Ishirini na
tano katika Harambee ya kuchangia ujenzi
wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Sadi,hafla ilifanyika jana
katika
Ukumbi wa Hayat Hotel Mjini Unguja,wakati huohuo ameahidi kuanzisha Chuo
cha Muziki Academy katika Mkoa wa Kaskazini,ambapo mradi huo utagharimu
shilingi za kitanzania Miliioni mia sita, wakiwemo na Walimu pamoja na
zana zote.

zana zote
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) na Mtoto
wa Mwanahamis Ali 9years mkaazi wa Shaurimoyo Mjini Unguja
akichora kaburi alilozikwa Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad (katika
picha ya kuchora chini) baada ya kukabidhiwa picha hiyo Rais, wakati wa
harambee ya Ujenzi wa Ofisi ya taasisi hiyo iliyofanyika jana katika
ukumbi
wa Hayyat Hotel Mjini Unguja,
Baadhi ya Mawaziri wakiwa katika hafla ya harambee ya Ujenzi wa
Ofisi ya taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad inayotarajiwa kujengwa Fumba Mkoa wa Magharibi
Unguja,wakiwa katika hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Hayyat Hotel
Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) Rais Mstaafu wa Jamhuri ya muungano Mzee
Mwinyi(kushoto) pia Mlezi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti
Saad na Mwenyekiti wa taasisi hiyo Bi Nasra Mohamed Hilal (wa pili kuli)
wakimuangalia Mtoto wa Mwanahamis Ali 9years mkaazi wa Shaurimoyo Mjini
Unguja akichora kaburi alilozikwa Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad
wakati wa harambee ya Ujenzi wa Ofisi ya taasisi hiyo inayotarajiwa
kujengwa Fumba Mkoa wa Magharibi Unguja,katika hafla iliyofanyika jana
katika ukumbi wa Hayyat Hotel Mjini Zanzibar
Kikundi cha Muziki cha Rahatul Zamani kikitumbuiza wakati wa Harambee ya kuchangia ujenzi
wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad hafla iliyofanyika jana
katika
Ukumbi wa Hayatt Hotel Mjini Unguja,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani)[Picha na Ikulu.]25/09/2016.
Mmiliki na
Mkurugenzi wa Kampuni ya Pennyroyal inayojenga Hoteli Kubwa ya Kimataifa
huko Matemwe Kaskazini Unguja Bw.Brian Thomson (wa pili kushoto) akiwa na msaidizi wa kampuni ya ujenzi ya Pennyroyal
inayojenga Hoteli Kubwa ya Kimataifa
huko Matemwe Kaskazini Unguja Bw.David Haycok (kushoto)pamoja na
Wasaidi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,(kutoka kulia) Mzee Burhani Saadat Haji na Chimbeni Kheir wakiwa katika Harambee ya kuchangia ujenzi
wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad iliyofanyika jana
katika
Ukumbi wa Hayatt Hotel Mjini Unguja
Baadhi ya Viongozi na Wafanyabishara wa makampuni mbali mbali wakiwa katika Harambee ya kuchangia ujenzi
wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad iliyofanyika jana
katika
Ukumbi wa Hayatt Hotel Mjini Unguja.
Baadhi ya Viongozi na Wafanyabishara wa makampuni mbali mbali wakiwa katika Harambee ya kuchangia ujenzi
wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad iliyofanyika jana
katika
Ukumbi wa Hayatt Hotel Mjini Unguja,
Baadhi ya Mawaziri wa
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakijaza fomu maalum za kuchangia
fedha kwa ajili ya ujenzi wakati wa harambee ya Ujenzi wa
Ofisi ya taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad inayotarajiwa kujengwa Fumba Mkoa wa Magharibi
Unguja, katika hafla iliyofanyika jana ukumbi wa Hayyat Hotel
Mjini Zanzibar,
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein akimkabidhi picha ya kuchora ya Marehemu Bibi Siti Binti
Saad Mkurugenzi wa Kampuni ya Azam Marine Fasty Ferry Huseein Mohamed
wakati wa harambee ya Ujenzi wa
Ofisi ya taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad inayotarajiwa kujengwa Fumba Mkoa wa Magharibi
Unguja, katika hafla iliyofanyika jana ukumbi wa Hayyat Hotel
Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.]25/09/2016.

0 Comments