Random Posts

ZIARA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA -WILAYA YA KILWA

 Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na viongozi wa wilaya ya Kilwa baada ya kuwasili mjini Utete kwa ziara ya siku moja wilayani humo Septemba 26, 2016. 

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimuagiza Mkuu wa wilaya ya Kilwa Juma Njwayo kuhakikisha  anachukuwa hatua za haraka dhidi ya watumishi wa haspitali ya wilaya hiyo ambao hawazingatii maadili ya kazi zao na wamegeuka kuwa kero kwa wananchi.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments