![]() |
| Watoto wakichuana kukimbia mbio za mita 50 kwenye Bonanza hilo. |
![]() |
| Mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Edmund Rice akionyesha umahiri wake kwenye mchezo wa Karate |
![]() |
| Kikundi cha Karate kikonyesha mbinu za mchezo huo |
![]() |
| Kikundi cha Karate kikonyesha mbinu za mchezo huo kwenye Bonanza la Mwalimu Nyerere lililofanyika kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jiji Arusha |
![]() |
| Burudani nayo ilikua sehemu ya kunogesha Nyerere Day |









0 Comments