Mkurugenzi
wa Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania , Hassan Saleh akiongea na baadhi ya wafanyakazi wa kamapuni
hiyo Mlimani City jijini , wakati wakijiandaa kuelekea sehemu mbalimbali za
jijini la Dar es Salaam na Pwani kutoa elimu ya huduma ya M-pawa ikiwa ni
sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja Duniani.
Afisa
Mkuu wa Idara ya Huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Harriet Lwakatare,
akiongea na waandishi wa habari, kuhusiana na wafnayakzai wa kampuni hiyo
kwenda sehemu mbalimbali za jijini la Dar es Salaam na Pwani kutoa elimu ya
huduma ya M-pawa ikiwa ni sehemu ya
maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja
Duniani.
Mkazi
wa Tandika jijini Dar es Salaam, Masoud Juma akiunganishwa katika huduma ya M-Pawa na Afisa Mkuu wa Idara ya Huduma kwa wateja wa
Vodacom Tanzania,Harriet Lwakatare, wakati
wafanyakazi wa kampuni hiyo walipokwenda sehemu mbalimbali za jijini la Dar es Salaam
na Pwani kwa ajili ya kutoa elimu ya huduma ya M-pawa ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya
huduma kwa wateja Duniani.

Meneja Huduma wa Vodacom Tanzania,Dia Mussana
(kulia)akimuanganishia Mohamed Zuber
anayefanya baiashara ya Urembo katika soko la Tandika jijini Dar es Salaam, wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo walipokwenda sehemu mbalimbali za jijini la Dar es Salaam
na Pwani kwa ajili ya kutoa elimu ya huduma ya M-pawa ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya
huduma kwa wateja Duniani.
0 Comments