Mtendaji
Mkuu wa Kiwanda cha Saruji cha Dangotte, Harpreet Duggal (kulia) akimwonesha
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Profesa Justin Ntalikwa (kushoto)
sehemu ya kiwanda hicho.
Mtendaji
Mkuu wa Kiwanda cha Saruji cha Dangotte, Harpreet Duggal (kulia) akimwonesha
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Profesa Justin Ntalikwa (kushoto)
roboti maalum ya kuchukua sampuli mbalimbali za kemikali/udongo kwenye maabara ya kiwanda hicho (haipo
pichani)
Mtalaam
kutoka Kiwanda cha Saruji cha Dangotte, Reuben Malambugi (kushoto) akielezea
shughuli za kiwanda hicho
Kutoka
kulia; Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Justin Ntalikwa,
Kamishna Msaidizi wa Madini – Kanda ya Kusini Mhandisi Benjamin Mchwampaka na
Mjumbe wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC), Dk. Shufaa Al-
beity wakifuatilia maelezo yaliyokuwa
yanatolewa na Mtendaji Mkuu wa Kiwanda cha Saruji cha Dangotte, Harpreet Duggal
(hayupo pichani).
Mtendaji
Mkuu wa Kiwanda cha Saruji cha Dangotte, Harpreet Duggal akielezea shughuli za
kiwanda hicho mbele ya Katibu Mkuu wa
Wizara ya Nishati na Madini Profesa Justin Ntalikwa pamoja na wawakilishi
kutoka Wizara ya Nishati na Madini,
Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) na
Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC) ( hawapo pichani)




