Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na
Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi alipokutana nao Ikulu jijini Dar
es salaam leo Oktoba 7, 2016
Balozi wa Tanzania nchini
Canada Mhe Jack Mugendi Zoka akichangia mada wakati wa mkutano wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na
Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi alipokutana nao Ikulu jijini Dar
es salaam leo Oktoba 7, 2016
Rais
wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na
Balozi wa Tanzania nchini Canada Mhe Jack Mugendi Zoka baada ya kuongea na Mabalozi
wanaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi alipokutana nao Ikulu jijini Dar es salaam
leo Oktoba 7, 2016
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia
Suluhu
Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi
Eng. John
Kijazi, Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Kanda na
Kimataifa, Balozi Dkt. Augustine Mahiga na Naibu Waziri wa Afya na
Ustawi wa Jamii Dkt Hamisi Kigwangwalla katika picha ya kumbukumbu na
Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi alipokutana nao Ikulu
jijini Dar
es salaam leo Oktoba 7, 2016
PICHA NA IKULU




