Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Baraza la
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Gaudencia Kabaka kabla ya mazungumzo yao,
Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dodoma Oktoba 3, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo
Kikuu cha Dodoma(UDOM), Gaudencia Kabaka (kulia kwake) na ujumbe wake,
Ofisini kwake mjini Dodoma Oktoba 3, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)



0 Comments