Makamu wa Rais wa Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa kushoto akioneshwa
jambo na Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo kulia wakati
akifanya matembezi katika mji Mkongwe wa Zanzibar,kabla ya kuondoka leo
na kurejea nyumbani.
Makamu wa Rais wa Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa katikati
akipita katika baadhi ya maeneo ya mji Mkongwe wa Zanzibar kabla ya
kuondoka leo na kurejea nyumbani.
Makamu wa Rais wa Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa katikati akipata
maelezo kutoka kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utalii
Utamaduni na Michezo Dk, Amina Ameri kulia wakati akitembelea maeneo ya
mji Mkongwe wa Zanzibar kabla ya kuondoka leo na kurejea nyumbani.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi Kushoto akiwa
pamoja na Makamu wa Rais wa Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa wakikagua
Gwaride rasmi katika Uwanja wa Ndege wa Zanzibar kabla ya kuondoka leo
na kurejea nyumbani.
Ndege iliompakia Makamu wa Rais wa Cuba Salvador Antonio Valdes
Mesa ikiacha aridhi na kuingia mawinguni baada ya kumaliza Ziara ya
kikazi ya Siku moja Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.





0 Comments