Makamu wa Rais wa Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa akiteremka katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar kwa Ziara ya Kiserikali ya Siku
moja.
Makamu wa Rais wa Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa akipokea zawadi ya Mauwa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar.kushoto ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi.
Makamu wa Rais wa Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa akikagua gwaride Rasmi lililoandaliwa mara Baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Zanzibar.

Makamu wa Rais wa Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa akisalimiana na Waziri wa Afya wa Zanzibar Mohd Thabit Kombo mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar.kwa Ziara ya Kiserikali ya Siku moja.
Makamu wa Rais wa Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa akiangalia burudani ya ngoma ya Kiluwa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar.kwa Ziara ya Kiserikali ya Siku moja.

Makamu wa Rais wa Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa akisalimiana na
Madaktari wa Cuba wanaofanyakazi Zanzibar katika Hoteli ya Park Hyatt
iliopo Shangani Mjini Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

0 Comments