Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Waziri wa kazi,Uwezeshaji Wazee,Vijana Wanawake na
Watoto Mhe,Moudline Cyrus Castico wakati alipohudhuria katika maonesho
ya Wiki ya Vijana Kitaifa katika viwanja vya sabasaba,sambamba na
kumuenzi muasisi Mwalimi Julius k,Nyerere katika sherehe za kilele cha
mbio za mwenge wa uhuru zilizofanyika Wilayani Bariadi Mkoa wa Simiyu
jana.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipohudhuria katika
maonesho
ya Wiki ya Vijana Kitaifa katika viwanja vya sabasaba,sambamba na
kumuenzi muasisi Mwalimi Julius k,Nyerere katika sherehe za kilele cha
mbio za mwenge wa uhuru zilizofanyika Wilayani Bariadi Mkoa wa Simiyu
jana.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitia saini kitabu cha wageni wakati alipohudhuria katika maonesho
ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika katika viwanja vya
sabasaba,sambamba na kumuenzi muasisi Mwalimi Julius k,Nyerere katika
sherehe za kilele cha mbio za mwenge wa uhuru zilizofanyika Wilayani
Bariadi Mkoa wa Simiyu jana.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akipokea vitabu kutoka kwa Edgar Atubonekisye mara alipotembelea banda la Taasisi ya Mwalimu Nyerere katika maonesho
ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika katika viwanja vya
sabasaba,sambamba na kumuenzi muasisi Mwalimi Julius k,Nyerere katika
sherehe za kilele cha mbio za mwenge wa uhuru zilizofanyika Wilayani
Bariadi Mkoa wa Simiyu jana.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akiangalia ubunifu wa vifaa mbali mbali uliofanywa na Vijana wakati alipotembelea mabanda ya maonesho
ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika katika viwanja vya
sabasaba,sambamba na kumuenzi muasisi Mwalimi Julius k,Nyerere katika
sherehe za kilele cha mbio za mwenge wa uhuru zilizofanyika Wilayani
Bariadi Mkoa wa Simiyu jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiangalia bidhaa mbali mbali zilizotengenezwa na Vijana kutoka Kisiwani Pemba wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika katika viwanja vya sabasaba,sambamba na kumuenzi muasisi Mwalimi Julius k,Nyerere katika sherehe za kilele cha mbio za mwenge wa uhuru zilizofanyika Wilayani Bariadi Mkoa wa Simiyu jana.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akiwashukuru Vijana kutoka Kisiwani Pemba kwa ushiriki wao katika maonesho
ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika katika viwanja vya
sabasaba,wakati alipotembelea maonesho hayo sambamba na kumuenzi muasisi Mwalimi Julius k,Nyerere katika
sherehe za kilele cha mbio za mwenge wa uhuru zilizofanyika Wilayani
Bariadi Mkoa wa Simiyu jana.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiwapungia mkono Vijana katika Mabanda ya maonesho ya Mkoa wa Dar es
Salaam wakati alipotembelea mabanda ya maonesho
ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika katika viwanja vya
sabasaba,sambamba na kumuenzi muasisi Mwalimi Julius k,Nyerere katika
sherehe za kilele cha mbio za mwenge wa uhuru zilizofanyika Wilayani
Bariadi Mkoa wa Simiyu jana.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiwapongeza Vijana katika Mabanda ya maonesho ya Mkoa wa Dar es
Salaam wanaotengeneza Viatu vya ngozi aina mbali mbali wakati alipotembelea mabanda ya maonesho
ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika katika viwanja vya
sabasaba,sambamba na kumuenzi muasisi Mwalimi Julius k,Nyerere katika
sherehe za kilele cha mbio za mwenge wa uhuru zilizofanyika Wilayani
Bariadi Mkoa wa Simiyu jana.
[Picha na Ikulu.]15/10/2016.

0 Comments