Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akiwasha mshumaa ikiwa
ni ishara ya ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Nchi zinazopakana na Bahari ya
Hindi wa Kudhibiti Biashara na Usafirishaji wa Dawa za Kulenya kwa njia ya
bahari. Mkutano huo unafanyika mjini Colombo nchini Sri Lanka.
Picha zote na WMNN.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati) akisikiliza
mada zilizokuwa zinatolewa katika Mkutano wa Mawaziri wa Nchi zinazopakana na
Bahari ya Hindi wa Kudhibiti Biashara na Usafirishaji wa Dawa za Kulenya kwa
njia ya bahari unaofanyika mjini Colombo nchini Sri Lanka.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza katika
Mkutano wa Mawaziri wa Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi wa Kudhibiti
Biashara na Usafirishaji wa Dawa za Kulenya kwa njia ya bahari unaofanyika
mjini Colombo nchini Sri Lanka.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akipokea
zawadi kutoka kwa Mratibu wa Mkutano wa Mawaziri wa Nchi zinazopakana na Bahari
ya Hindi wa Kudhibiti Biashara na Usafirishaji wa Dawa za Kulenya kwa njia ya
bahari unaofanyika mjini Colombo nchini Sri Lanka.




0 Comments