Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Mkoani Manyara,
Isaya Shekifu akizungumza na wakazi wa Kata ya Dongobesh Wilayani Mbulu
baada ya kukabidhi jana mabati 100 kwa ajili ya upauaji wa jengo la upasuaji wa
kituo cha afya.
Mbunge wa Jimbo la Mbulu Vijijini Mkoani Manyara, Flatey Massay akizungumza jana na wakazi wa
Kata ya Dongobesh baada ya kukabidhiwa mabati 100 ya jengo la
upasuaji wa kituo cha afya na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Mkoani
Manyara.
Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, Chelestino Mofuga
akizungumza na wakazi wa Kata ya Dongobesh baada ya kukabidhiwa mabati
100 ya jengo la upasuaji wa kituo cha afya na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)
Mkoani Manyara.


