Rais Dkt John Pombe Magufuli akikagua pembe za ndovu 50 zilizokamatwa katika operesheni maalum ya kusaka
majangili alipofanya ziara ya kushtukiza makao makuu ya Wizara ya
Maliasili na Utalii (MPINGO HOUSE) jijini Dar es salaam leo Oktoba 29,
2016

Rais
Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza kwa kazi nzuri Katibu Mkuu wa
Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi baada ya
kukagua akikagua pembe za ndovu 50 zilizokamatwa katika operesheni
maalum ya ya kusaka majangili alipofanya ziara ya kushtukiza makao
makuu ya Wizara ya Maliasili na Utalii (MPINGO HOUSE) jijini Dar es
salaam leo Oktoba 29, 2016
PICHA NA IKULU

0 Comments