Kamanda wa Kikosi cha Wanamaji ,Rene Luyckx, akizungumza na Naibu Waziri wa Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(kushoto), wakati ujumbe
huo ukiongozwa na Balozi wa Umoja
wa Ulaya, Roeland Van der
GeeR(kulia),ulipotembelea wizara hiyo kujadili ushirikano wa kudhibiti uharamia
unaofanyika baharini.Mazungumzo hayo yamefanyika ofisini kwa Naibu Waziri,jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Umoja wa
Ulaya, Roeland Van der GeeR(kulia), akizungumza na Naibu Waziri wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto),wakati wa
mazungumzo ya kujadili ushirikiano wa kudhibiti uharamia unaofanyika baharini.Mazungumzo
hayo yamefanyika ofisini kwa Naibu
Waziri, jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mhandisi Hamad Masauni(kushoto), akizungumza na ujumbe ulioongozwa na Balozi wa
Umoja wa Ulaya, Roeland Van der GeeR(kulia), wakati wa mazungumzo ya kujadili
ushirikiano wa kudhibiti uharamia unaofanyika baharini.Mazungumzo hayo
yamefanyika ofisini kwa Naibu Waziri,
jijini Dar es Salaam.
(Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi)
IMEANDALIWA
NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.



0 Comments