Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Jiolojia Tanzania
(GST) Prof. Abdulkarim Mruma (aliyeshika
panga) akitoa ufafanuzi juu ya uvumi kuwepo volcano leo katika eneo la
Katarabuga, kata ya Bwanjai wilaya ya Misenyi. Eneo la mbele waliposimama
wananchi na viongozi lililoungua ndio limeungua moto na kusadikiwa kuwa ni
volcano hatua ambayo imekanushwa na Mtendaji Mkuu wa Jioloji badala yake ulikuwa
huo moto kawaida. Eneo la mbele waliposimama wananchi na viongozi lililoungua
ndio lilisadikiwa kuwa ni volcano hatua ambayo imekanushwa na Mtendaji Mkuu wa
Jioloji badala yake ulikua ni moto wa kawaida.
Wananchi wakiwa katika eneo la Katarabuga, kata
ya Bwanjai wilaya ya Misenyi ilipodaiwa kuwepo kwa volcano hatua ambayo imekanushwa
na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) Prof. Abdulkarim Mruma
badala yake amesema huo ulikuwa ni moto wa kawaida. Eneo la mbele waliposimama
wananchi na viongozi lililoungua ndio lilisadikiwa kuwa ni volcano hatua ambayo
imekanushwa na Mtendaji Mkuu wa Jioloji badala yake ulikuwa ni moto wa kawaida.
Wananchi wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Misenyi
Luteni Kanali Denis Mwila (aliyevaa koti jeusi) eneo la Katarabuga, kata ya
Bwanjai wilaya ya Misenyi ilipodaiwa kuwepo kwa volcano hatua ambayo
imekanushwa na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) Prof.
Abdulkarim Mruma badala yake amesema huo ulikuwa ni moto wa kawaida.
Baadhi ya viongozi
wakiwasili eneo katika eneo la Katarabuga, kata ya Bwanjai wilaya ya Misenyi
ilipodaiwa kuwepo kwa volcano hatua ambayo imekanushwa na Mtendaji Mkuu wa
Jiolojia badala yake huo ulikuwa ni moto wa kawaida.
(Picha na Eleuteri
Mangi, MAELEZO, Bukoba)







0 Comments