Na.Alex Mathias.
.....................................
.....................................
Kocha
Mkuu wa Klabu ya Yanga Hans Van Der Pluijm,kuelekea kuwavaa Mbeya City
mchezo wa 12 Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara unaotarajiwa kupigwa
uwanja wa Sokoine mjini Mbeya majira ya sa kumi jioni huku Obrey Chirwa
akianza benchi.
Kikosi
cha Yanga leo ni; Deogratius Munishi 'Dida', Hassan Kessy, Mwinyi
Hajji, Andrew Vincent, Vincent Bossou, Mbuyu Twite, Simon Msuva, Haruna
Niyonzima, Amissi Tambwe, Donald Ngoma na Deus Kaseke
Katika
benchi wapi; Beno Kakolanya, Kevin Yondan, Oscar Joshua, Thabani
Kamusoko, Juma Mahadhi, Obrey Chirwa na Geoffrey Mwashiuya.

0 Comments