Waombolezaji wakipita katika jeneza la
aliyewahi kuwa Waziri wa zamani wa Serikali, Joseph Mungai wakati wa shughuli
za kuagwa kwa mwili wa Kiongozi huyo leo Jijini Dar es Salaam.
(PICHA ZOTE NA MAELEZO)
Rais mstaafu, Benjamin Mkapa
akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Damian
Lubuva wakati wa shughuli za kuagwa kwa mwili wa aliyekuwa kuwa Waziri wa
zamani wa Serikali, Joseph Mungai aliyeagwa leo katika ukumbi wa karimjee Jijini
Dar es Salaam.
Baadhi ya Viongozi waandamizi wa Chama
cha Mapinduzi (CCM) wakifuatilia shughuli za kuagwa kwa mwili wa aliyekuwa
Waziri wa zamani wa Serikali, Joseph Mungai aliyeagwa leo katika ukumbi wa
karimjee Jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye wakati wa shughuli za
kuagwa kwa mwili wa aliyekuwa kuwa Waziri wa zamani wa Serikali, Joseph Mungai
aliyeagwa leo katika ukumbi wa karimjee Jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. John Pombe (wa tatu kulia)
akiwa katika ibada maalum ya kumwombea aliyewahi kuwa Waziri wa zamani wa
Serikali, Joseph Mungai aliyeagwa leo katika ukumbi wa karimjee Jijini Dar es
Salaam.
Familia ya Hayati, Joseph Mungai
wakifuatilia kwa makini shughuli za kuagwa kwa mwili wa Waziri huyo wa zamani
wa Serikali zilizofanyika leo katika ukumbi wa karimjee Jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akitoa
salamu za mwisho kwa mwili wa aliyewahi kuwa Waziri wa zamani wa Serikali,
Joseph Mungai aliyeagwa leo katika ukumbi wa karimjee Jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais mstaafu, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal akitoa salamu za mwisho kwa mwili wa aliyewahi kuwa Waziri wa
zamani wa Serikali, Joseph Mungai aliyeagwa leo katika ukumbi wa karimjee
Jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph
Warioba akitoa salamu za mwisho kwa mwili wa aliyewahi kuwa Waziri wa zamani wa
Serikali, Joseph Mungai aliyeagwa leo katika ukumbi wa karimjee Jijini Dar es
Salaam.
Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye
akitoa salamu za mwisho kwa mwili wa aliyewahi kuwa Waziri wa zamani wa
Serikali, Joseph Mungai aliyeagwa leo katika ukumbi wa karimjee Jijini Dar es
Salaam.










0 Comments