Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali mara alipowasili katika
viwanja vya Jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni leo alipotembelea
ujenzi wa jengo hilo akiwa katika ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo katika
Mikoa ya Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Nd,Nassor Ali Nassor
Mchoraji wa ramani katika kampuni ya United Construction LTD,(katikati) wakati
alipotembelea jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni leo akiwa katika
ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo katika Mikoa ya Pemba,(kushoto)Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ
Mhe,Haji Omar Kheir.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein akizumngumza na wananchi na Viongozi alipotembelea ujenzi
wa jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni leo akiwa katika ziara ya
kuzindua miradi ya maendeleo katika Mikoa ya Pemba,(katikati) Mkuu wa Mkoa wa
Kaskazini Pemba Mhe,Omar Othman Khamis na (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe,Haji Omar
Kheir,
Baadhi ya wananchi
wa Micheweni Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo
pichani) wakati alipozungumza na wanannchi hao wakati alipotembelea ujenzi wa jengo
la Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni leo akiwa katika ziara ya kuzindua miradi
ya maendeleo katika Mikoa ya Pemba,
Baadhi ya wananchi wa Micheweni Wilaya ya Micheweni Mkoa wa
Kaskazini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) wakati alipozungumza na
wanannchi hao wakati alipotembelea ujenzi wa jengo la Halmashauri ya Wilaya ya
Micheweni leo akiwa katika ziara ya kuzindua miradi ya maendeleo katika Mikoa
ya Pemba,
[Picha na Ikulu.] 06 Nov 2016.





0 Comments