Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kama ishara ya uzinduzi Ujenzi wa madarasa mapya ya Maandalizi katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba akiwa katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya Maendeleo,(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma,
( PICHA ZOTE NA IKULU 06/11/2016 )
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa madarasa mapya ya
Maandalizi katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba
akiwa katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya Maendeleo
Baadhi ya wanafunzi wa Maandalizi wakiwa na Walimu wao katika sherehe
ya Uzinduzi wa madarasa mapya yaliyojengwa na Wananchi kwa msaada wa
Tassaf,ambapo yaliyozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,akiwa katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya Maendeleo
Wananchi wa Shehia za Gando wakiwa katika sherehe ya Uzinduzi wa madarasa mapya yaliyojengwa na Wananchi kwa msaada wa Tassaf yaliyozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,akiwa katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya Maendeleo
Wasoma Utenzi Raya Rashid (kulia) na Fatma Hassan Mshindo wakitoa burudani ya utenzi wao mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati wa kusherehekea Uzinduzi wa madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa na Wananchi kwa msaada wa Tassaf katika Skuli ya Gando,Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,
Wananchi waliohudhuria katika sherehe za uzinduzi wa madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa na Wananchi kwa msaada wa Tassaf katika
Skuli ya Gando,Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,wakifuatilia
na kusikiliza nasaha mbali mbali zilizotolewa katika sherehe hiyo,
Wanafunzi wa Maandalizi wakiimba wimbo maalum wa kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein mara baada ya kuyazindua madarasa yao leo katika Skuli ya Gando Wilaya yaWete Mkoa wa Kaskazini Pemba,akiwa katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya Maendeleo Kisiwani Pemba,
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Nd,Abdalla
Joseph Meza akisoma taarifa ya Ujenzi wa Madarasa mapya ya Maandalizi
yaliyojengwa kwa msaada wa Tassaf katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete
Mkoa wa Kaskazini Pemba leo wakati wa sherehe maalum ya uzinduzi
uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za uzinduzi wa
Madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa katika Skuli ya Gando Wilaya
ya Wete Mkoa Kaskazini Pemba kwa masaada wa Tassaf na kuzinduliwa leo
na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa
Rais Mhe,Mohamed Aboud Mohamed wakati wa sherehe ya Uzinduzi wa Jengo
la Madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa kwa msaada wa Tassaf katika
Skuli ya Gando,Wilaya ya Wete Mkoa wa Kakskazini Pemba
Baadhi ya wanafunzi wa Skuli ya Msingi ya Gando wakiwa wamejumuika
katika sherehe ya uzinduzi wa jengo la madarasa mapya ya maandalizi
yaliyojengwa kupitia Tassaf yamezinduliwa leo na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa
katika ziara ya kuzindua miradi mbali mbali ya Maendeleo Mikoa ya
Pemba,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Waziri
wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma,hati maalum ya
kukamilisha Ujenzi wa madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa kwa
kupitia Tassaf katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini
Pemba leo wakati wa Uzinduzi wa Rasmi wa Madarasa hayo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba ya ufunguzi wa jengo la madarasa
mapya ya Maandalizi yaliyojengwa kwa kupitia Tassaf katika Skuli ya
Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma,na (katikati) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mhe,Mohamed Aboud Mohamed.
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika sherehe ya uzinduzi wa madarasa
mapya ya Maandalizi yaliyojengwa kwa kupitia Tassaf katika Skuli ya
Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,(kutoka kushoto) Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa
Haji Ussi,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za
Mitaa na Idara bMaalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheir na Mwakilishi wa
Tassaf Tanzania Faraji Mishael,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma (katikati) mara baada ya kumalizika kwa sherehe za uzinduzi wa madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa kwa kupitia Tassaf katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,















0 Comments