Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza Mtangazaji Tido Mhando wakati akiuliza maswali kutoka
kwa wahariri wa vyombo mbalimbali aliokutana nao kwa mahojiano leo
Ijumaa Oktoba 4, 2016 katika ukumbi w3a mikutano wa Ikulu jijini Dar es
salaam.
PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimsikiliza Msanii Mrisho Mpoto akiimbwa wimbo wa "SIJONZE" wakati
alipokutana na wahariri kwa mahojiano leo Ijumaa Oktoba 4, 2016 katika
ukumbi w3a mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC)
Dkt. Ayoub Rioba wakati wa kupokea maswali kutoka kwa wahariri wa
vyombo mbalimbali aliokutana nao kwa mahojiano leo Ijumaa Oktoba 4, 2016
katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimsikiliza mwanahabari Sammy Awami wa BBC wakati akiuliza maswali
kutoka
kwa wahariri wa vyombo mbalimbali aliokutana nao kwa mahojiano leo
Ijumaa Oktoba 4, 2016 katika ukumbi w3a mikutano wa Ikulu jijini Dar es
salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimsikiliza Mhariri Mtendaji wa magazeti ya Serikali (TSN) Dkt. Jim
Yonazi wakati akiuliza maswali kutoka kwa wahariri wa vyombo
mbalimbali aliokutana nao kwa mahojiano leo Ijumaa Oktoba 4, 2016 katika
ukumbi w3a mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akijibu maswali kutoka
kwa wahariri wa vyombo mbalimbali aliokutana nao kwa mahojiano leo
Ijumaa Oktoba 4, 2016 katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es
salaam

0 Comments