Random Posts

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MWENYEKITI WA BODI YA TANAPA JENERALI GEORGE WAITARA NA MKUU WA JKT BRIGEDIA JENERALI MICHAEL ISAMUHYO

 Waitara: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana  na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANAPA  
ambaye pia  Mkuu wa Majeshi Mstaafu   Jenerali George Waitara alipokutana naye kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 8, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na  Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Brigedia Jenerali Michael Isamuhyo alipokutana naye kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 8, 2016

Picha na IKULU

Post a Comment

0 Comments