Random Posts

RAIS DKT MAGUFULI AMTEMBELEA MKEWE ALIYELAZWA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia  hali mkewe Mama Janeth Magufuli aliyelazwa katika wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili akipatiwa matibabu leo Novemba 10, 2016

Picha na IKULU

Post a Comment

0 Comments