Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akizungumza katika dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na
mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta katika Ikulu ya Nairobi.
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta akizungumza katika
dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Ikulu ya Nairobi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akigonganisha glass na mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru
Kenyatta katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta pamoja na
Mke wa Rais wa Kenya Mama Margaret Kenyatta katika dhifa hiyo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akifurahia jambo huku akiwa amewashika mikono kwa pamoja
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, Naibu Rais wa Kenya William Ruto na Mke wa Rais
wa Kenya Mama Margaret Kenyatta katika dhifa hiyo ya kitaifa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akisalimiana na mabalozi mbalimbali wa Kenya waliohudhuria
katika dhifa hiyo ya Kitaifa.
PICHA NA IKULU

0 Comments