Baadhi ya Maofisa wa LAPF pamoja na waandishi wa Habari wakitembelea mradi wa mabweni katika Chuo cha Serikali za Mitaa cha Hombolo nje kidogo ya manisapaa ya
Dododma. LAPF imetumia bilioni 39 kujenga baadhi ya majengo na
miundimbinu katika chuo hicho.

Kaimu Mkurugenzi Huduma kwa Wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF ramadhani Mkeyenge akizungumza na Waandishi wa Habari mjini Dodoma kuhusu miradi iliyotekelezwa na LAPF katika maeneo mbali mbali nchini.
Moja ya Vyumba vya madarasa katika Chuo cha Serikali za Mitaa cha Hombolo (Sehemu ya mradi wa LAPF). Darasa hili lina uwezo wa kuchukua wanafunzi 520 kwa wakati mmoja.




0 Comments