Nyota wa filamu za Action hapa Tanzania Jimmy Mponda au Jimmy Master, mkongwe maarufu kama J.Plus hatmaye ametimiza kilicho kuwa kinahitajika mtaani, msanii huyo ametoa taarifa njema kwa fans na wadau mbali mbali kuwa, Ile filamu yake mpya iliyo takiwa kutoka mwezi wa 7 mwaka huu 2016,
"The Foundation" (Misingi) sasa ipo mtaani.
"Naamini kuwa mlipenda sana filamu zangu zilizo pita like 'Misukosuko' Shamba kubwa, na zinginezo hivyo naomba muipokee "The Foundation" coz ni kazi nzuri sana ukweli nimeitendea haki yake,kama unahitaji filamu hii Tafadhali chukua namba kwenye hiyo Poster piga uweze kupata Copy yako".
Tunaomba sapoti yako kwenye kazi hii nzuri Asante!.

0 Comments