Baadhi ya wabunge na mawaziri wakiwasili
katika viwanja vya Bunge kuhudhulia kikao cha tatu cha Mkutano wa tano wa Bunge
la 11 Mjini Dodoma Novemba 3,2016.
Baadhi ya wabunge na mawaziri wakiwasili
katika viwanja vya Bunge kuhudhulia kikao cha tatu cha Mkutano wa tano wa Bunge
la 11 Mjini Dodoma Novemba 3,2016.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt Tulia Ackson akiingia Bungeni kuongoza katika kikao cha
tatu cha Mkutano wa tano wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Novemba 3,2016.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt Tulia Ackson akiongoza kikao cha tatu cha Mkutano wa tano wa
Bunge la 11 Mjini Dodoma Novemba 3,2016.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo
Mhe. Nape Moses Nnauye (kulia) pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi
na Utawala Bora Mhe. Angela Kairuki wakifuatilia kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu katika kikao cha
tatu cha Mkutano wa tano wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Novemba 3, 2016.
Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano
Mhe. Prof Makame Mbarawa (kushoto)
pamoja na Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Gerson Lwenge wakifuatilia
kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu katika kikao cha tatu cha Mkutano wa tano
wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Novemba 3,2016.
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijibu
maswali mbalimbali ya wabunge katika kipindi cha maswali ya moja kwa
moja kwake wakati wa kikao cha tatu cha Mkutano wa tano wa Bunge la 11
Mjini Dodoma Novemba 3, 2016.
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
likiendelea na kiako cha tatu cha Mkutano wa tano wa Bunge la 11 Mjini Dodoma
Novemba 3, 2016.
Picha zote na Idara ya Habari MAELEZO













0 Comments