Random Posts

ANGALIA PICHA ZA RED CARPET YA TUZO ZA EATV

Wasanii wa muziki, filamu pamoja na wadau mbalimbali wa burudani nchini wamejitokeza kwa wingi katika usiku huu wa Tuzo za EATV hapa Mlimani City jijini Dar es salaam.



Mgeni rasmi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye ameshawasili katika ukumbi huu kushuhudia utowaji wa tuzo hizo.Jumla ya tuzo 10 zinatarajiwa kukabidhiwa kwa wasanii wa muziki na filamu nchini usiku huu.
 Jux akiwa Vanessa

 Barnaba msanii wa bongo fleva
 Petitman wakuach
 Wahu kutoka Kenya
 Joh Makini akihojia na EATV

Wakazi msanii wa hiphop
......................................................................
Kwa hisa ya mdimuz.blog

Post a Comment

0 Comments