Kikundi cha Brass Band cha Jeshi la Polisi Zanzibar wakiongoza matembezi
ya Taasisi mbali mbali zilizoshiriki katika sherehe za maadhimisho ya siku ya
Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika Viwanja vya Victoria
Garden Mjini Unguja.
[Picha na Ikulu.]10/12/2016.
ais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi Zanzibar Nd,Asaa Ahmada
Rashid alipowasili katika Viwanja vya Victoria Garden
Mjini Unguja katika sherehe za Maadhimisho ya siku ya Maadili
na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi
Zanzibar Nd,Asaa Ahmada Rashid (kulia) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma
na Utawala Bora Mhe,Haroun Ali Suleiman mara alipowasili katika Viwanja vya Victoria
Garden Mjini Unguja katika sherehe za Maadhimisho ya siku ya Maadili
na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika
Vijana
waliobeba bango linalotoa ujumbe usemao Siku ya Maadili na Haki za
Binadamu”Imarisha Utawala Bora kwa Kukuza Uadilifu,Uwajibikaji,Haki
za Binadamu na Mapambano Zidi ya Rushwa”wakati wa matembezi ya
maadhimisho ya siku ya Maadili na
Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika Viwanja vya Victoria
Garden
Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiwapungia mkono vijana walioshiki matembezi katika wa sherehe za maadhimisho ya siku ya Maadili
na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika Viwanja vya Victoria
Garden Mjini Unguja,
Vijana walioshiki matembezi katika sherehe za maadhimisho ya siku ya Maadili na
Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika Viwanja vya Victoria Garden
Mjini Unguja,wakipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa
akipokea matembezi hayo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)
pamoja na Viongozi mbali mbali wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa
katika sherehe za maadhimisho ya siku ya
Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika Viwanja vya Victoria
Garden Mjini Unguja
Ngoma ya Kibati ikichezwa na kikundi cha Vijana Ngoma Group katika sherehe
za maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo
katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja
Baadhi ya Viongozi na wananchi waliohudhuria katika sherehe za maadhimisho ya
siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika Viwanja
vya Victoria Garden Mjini Unguja
Baadhi ya Vijana waliohudhuria katika sherehe za maadhimisho ya siku ya Maadili
na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika Viwanja vya Victoria
Garden Mjini Unguja,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)alipokuwa akizungumza katika sherehe hizo
Baadhi ya Viongozi wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo
pichani)alipokuwa akizungumza na wananchi waliohudhuria katika sherehe za
maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika
Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja
Baadhi ya Viongozi wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo
pichani)alipokuwa akizungumza na wananchi waliohudhuria katika sherehe za
maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika
Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja
Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi Zanzibar Nd,Asaa Ahmada Rashid akitoa hutuba yake katika sherehe za Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo,katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Baadhi
ya Vijana waliohudhuria katika sherehe za maadhimisho ya siku ya
Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika Viwanja vya
Victoria Garden Mjini Unguja,wakimsikiliza Raiswa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)alipokuwa akizungumza katika sherehe hizo,
Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa UN Bi,Anna Liboro Senga,alipokuwa akitoa salamu zake katika sherehe za Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo,katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa UN Bi,Anna
Liboro Senga,katika sherehe za Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo,katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Viongozi na Wananchi katika sherehe za Maadhimisho ya
siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo katika
viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja,(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe,Haroun Ali Suleiman na (kushoto) Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi Zanzibar Nd,Asaa Ahmada Rashid


















0 Comments