Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma alipokuwa
akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za Mahfali ya Skuli ya Feza
Zanzibar (Private) kwa wanafunzi wa Kidato cha 4,6 na 7 mwaka
2016,iliyofanyika juzi Skulini hapo Chukwani Wilaya ya Magharibi.
Wahitimu wa Kidato cha Nne katika Skuli ya Feza Zanzibar (Private) ya
Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja wakiwa katika mahfali wanafunzi wa
Kidato cha 4,6 na 7 iliyofanyika juzi,ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri
wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma,
Wanafunzi wa Darasa la Sita na Saba katika Skuli ya Feza Zanzibar
(Private) wakiimba wimbo maalum wakati wa Mahafali ya wanafunzi wa
Kidato cha 4 ,6 na 7 Mwaka 2016 iliyofanyika katika Skuli hiyo iliyopo
Chukwani Wilaya ya Magharibi juzi.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma akimpongeza
Mtoto wa darasa la 5 Zahra Zahir aliyesoma Utenzi katika sherehe za
Mahfali ya Skuli ya Feza Zanzibar (Private) kwa wanafunzi wa Kidato cha
4,6 na 7 mwaka 2016,iliyofanyika juzi Skulini hapo Chukwani Wilaya ya
Magharibi.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma akimpongeza
Mtoto wa darasa la 4 Latifah Mohamed Abdulrahman aliyeimba Wimbo wa
Kizungu (ENGLISH SONG) katika sherehe za Mahfali ya Skuli ya Feza
Zanzibar (Private) kwa wanafunzi wa Kidato cha 4,6 na 7 mwaka
2016,iliyofanyika juzi Skulini hapo Chukwani Wilaya ya Magharibi.
Baadhi ya Wahitimu wa darasa la Sita katika Feza Zanzibar (Private)
wakiwa katika sherehe za Mahfali ya Skuli ya Feza Zanzibar (Private) kwa
wanafunzi wa Kidato cha 4,6 na 7 mwaka 2016,iliyofanyika juzi Skulini
hapo Chukwani Wilaya ya Magharibi.
Baadhi ya waalimu waliopewa zawadi katika sherehe za Mahfali ya Skuli
ya Feza Zanzibar (Private) kwa wanafunzi wa Kidato cha 4,6 na 7 mwaka
2016,iliyofanyika juzi Skulini hapo Chukwani Wilaya ya Magharibi,ambapo
mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe
Juma.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma (wa pili
kulia) akimkabidhi cheti mmoja wa wanafunzi wa Darasa la saba katika
sherehe za Mahfali ya Skuli ya Feza Zanzibar (Private) kwa wanafunzi wa
Kidato cha 4,6 na 7 mwaka 2016,iliyofanyika juzi Skulini hapo Chukwani
Wilaya ya Magharibi,(kulia) Mwalimu Mkuu Ally Yussuf Nungu.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma (kushoto)
akimkabidhi cheti mmoja wa wanafunzi wa Kidato cha Nne katika sherehe za
Mahfali ya Skuli ya Feza Zanzibar (Private) kwa wanafunzi wa Kidato
cha 4,6 na 7 mwaka 2016,iliyofanyika juzi Skulini hapo Chukwani Wilaya
ya Magharibi,(katikati) Mwalimu Mkuu Ally Yussuf Nungu.









0 Comments