Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wa kijiji cha
Namanga kilichopo kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania kilichopo kwenye
wilayani Longido wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo
Desemba 16, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
wanawake wa kimasai wakiimba wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
alipowasili kwenye uwanja wa mkutano kuhutubia wananchi katika kijiji
cha Namanga kilichopo kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania wilayani
Longido, Desemba 16, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye
kijiji cha Namanga kilichopo kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya mkoani
Arusha Desemba 16, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikabidhiwa kirungu na wazee wa kimasai
ikiwa ni ishara ya kumsimika kuwa mmoja wa wazee wa kabila hilo katika
mkutano wa hadhara aliouhutubia katika kijjiji cha Namanga kilichopo
kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania wilayani Longido Desemba 16, 2016
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wazee wa kimasai baada ya
kuhutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Namanga kilichopo kwenye
mpaka wa Kenya na Tanzania wilayani Longido Desemba 16, 2016. Wapili
kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Desemba 16, 2016 alikabidhi pikipiki 10
kwa vijana wa bodaboda wa Namanga na Longido mkoani Arusha . Pichani,
Waziri Mkuu akikabidhi pikipiki hizo baada ya kuhutubia mkuano wa
hadhara katika kijiji hicho.
0 Comments