Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Napono Sokoine (wapili
kulia) na Nekiteto Sokoine (kulia) ambao ni wajane wa aliyekuwa Waziri
Mkuu, Marehemu Edward Sokoine wakati aipokwenda nyumbani kwa marehemu,
Monduli Juu kuisalimia familia akiwa katika ziara ya wialaya ya Monduli
Desemba 4, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka shada la maua kwenye kaburi la
aliekuwa Waziri Mkuu, Edward Sokoine wakati alipokwenda nyumbani kwa
marehemu, Monduli Juu akiwa katika ziara ya wialya ya Monduli Desemba 4,
2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipokwenda nyumbani kwa
aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Sokoine, Monduli Juu kuisalimia familia
akiwa aktika ziara ya wialya ya Monduli Desemba 4, 20, 16. Kushoto
kwake wajane wa marehemu, Napono Sokoine (wpili kulia) na kulia ni
Nekiteto Sokoine . Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho
Gambo.




0 Comments