Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Joel
Bendera na Katibu Tawala wa Mkoa huo , Eliakim Maswi (kulia) wakati
aliposimama kwa muda mjini Babati akitoka Dodoma kwenda Arusha Desemba
1, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Manyara
wakati aliposimama kwa muda mjini Babati akitoka Dodoma kwenda Arusha,
Desemba 1, 2016. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Joel Bendera
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Babati,
Raymound Mushi wakati aliposimama kwa muda mjini Babati akitoka Dodoma
kwenda Arusha, Desemba 1, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa mkoa wa Manyara
wakati aliposimama kwa muda mjini Babati akitoka Dodoma kwenda Arusha
Desemba 1, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)





0 Comments