Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha,
Mrisho Gambo (katikati) na Katibu Tawala wa Mkoa huo, Richard Kwitega
baada ya kuwasili jijini Arusha kuanza ziara ya kazi mkoani humo
Desemba1, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Longido,
Daniel Chongolo baada ya kuwasili jijini Arusha kuanza ziara ya kazi
mkoani humo Desemba 1, 2016.
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Monduli,
Iddi Kimanta baada ya kuwasili jijiniArusha kuanza ziara ya kazi Desemba
1, 2016.
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum,
Catherine Magige baada ya kuwasili jijiniArusha kuanza ziara ya kazi
Desemba 1, 2016.




0 Comments