Askari
wa Jeshi la wanmanchi wa Tanzania JWTZ kikosi cha makomandoo wakivuta
gari la kijeshi kuonyesha ukakamavu wao katika sherehe za miaka 55 ya
Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika leo katika uwanja wa Uhuru Jijini
Dar es Salaam,kama wanayoonekwa pichani.
[Picha na Ikulu.]09/12/2016.
Kikosi
cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ Makomandoo kikipita katika
Jukwaa kubwa la Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam,kwa mwendo wa
kurukaruka katika sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara
zilizofanyika leo kiwanjani hapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Maguful.
Kikosi cha Jeshi la Wanamaji wa Tanzania JWTZ
kikipita katika Jukwaa kubwa la Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam kwa Gwaride la mwendo wa pole katika
sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika leo kiwanjani hapo
mgeni rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe
Magufuli.
Kikosi cha
Jeshi la Kujenga Taifa JKT kikipita katika Jukwaa kubwa la
Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam,kwa Gwaride la mwendo wa polepole katika sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa
Tanzania Bara zilizofanyika leo kiwanjani hapo mgeni rasmi akiwa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli.
Kikosi
cha Jeshi la Polisi wanawake kikipita mbele katika Jukwaa kubwa la
Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam,kwa Gwaride la mwendo wa haraka
katika sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika leo
kiwanjani hapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt.John Pombe Magufuli.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe,Paul Makonda baada ya kumalizika kwa sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania
Bara zilizofanyika leo katika uwanja wa Uhuru Jijini Dae es Salaam.
0 Comments