Mkuu
wa Wilaya ya Tunduru JUMA HOMERA akiwa ameongozana na kamati ya ulinzi
na usalama ya wilaya hiyo wakitembea pembezoni mwa mto ruvuma ambao
katika kijiji cha wenje ambapo mto huo unatenganisha Tanzania na Nchi
ya Msumbiji.
"Watanzania
ambao wanashikiliwa nchini MSUMBIJI ni wakazi wa kijiji cha Mkapunda na
wenje wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma ambapo vijiji hivyo vipo mpakani
na kijiji cha Luimila cha wilaya ya Niassa nchini Msumbiji, Vijiji hivyo
vya Tanzania na Msumbiji vinatenganishwa na Mto Ruvuma. Kwa undani wa
habari hii angalia video yake hapo chini ".
0 Comments