Familia ya Marehemu Mpoki Bukuku, ikiwa imelizunguka Jeneza lenye
mwili wake wakati wa ibada maalum ya Mazishi yake iliyofanyika mchana
wa leo katika eneo la Makaburi ya familia yao, Msalato Mkoani Dodoma.
Jeneza lenye Mwili ya Marehemu Mpoki Bukuku likishushwa
kaburini wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika mchana wa leo katika eneo
la Makaburi ya familia yao, Msalato Mkoani Dodoma.
Mjane wa Marehemu akiweka shada la maua kwenye kaburi la Mumewe.
Watoto wa Marehemu.
Maziko
ya Mpigapicha Mpoki Bukuku yanatarajibkufanyika leo Kijijini kwao
Msalato Dodoma yalipo makazi ya mamavyake nabyalipo makaburi ya Familia
likiwepo la Baba yake na kaka yake. Tayari waombolezaji wameshaanza
kuwasili na taratibu za mazishi zinaendelea.
Mafundi wakiendelea na ujenzi wa nyumba ya muda ya Mpoki Bukuku.
Waombolezaji wakiwa katika eneo itakapofanyika ibada ya mazishi pamoja na eneo la makaburi.
Mpigapicha Mroki Mroki akisaini kitabu cha maombolezo, Msalato Dodoma.
Mpigapicha John Bukuku nae akisaini cha maombolezo.
Mpigapicha Emmanuel Herman nae akisaini kitabu.
Mohamed Mambo, Mpigapicha nae akisaini Kitabu cha Maombolezo.
Picha kwa hisani ya Michuziblog














0 Comments