Random Posts

MHE. KAIRUKI AFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI MKAZI WA BENKI YA DUNIA KUHUSU MASUALA YA UTAWALA BORA


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akijadili masuala ya utawala bora na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bi Bella Bird alipomtembelea ofisini kwake
 Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bi Bella Bird akiongea kuhusu masuala ya utawala bora na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) (hayupo pichani) alipomtembelea ofisini kwake
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akisimkiliza Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bi Bella Bird (hayupo pichani) alipomtembelea ofisini kwake

Post a Comment

0 Comments