Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli (katikati) pamoja na
Viongozi mbali mbali wa Kitaifa wakisimama kupokea salama ya heshma ya Vikosi
vya Ulinzi na Usalama kwa Gwaride la mwendo wa haraka katika sherehe za
miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika leo katika uwanja wa Uhuru
Jijini Dar es Salaam
Kikosi cha
Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ Makomandoo kikipita katika Jukwaa kubwa la
Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam,kwa mwendo wa kurukaruka katika sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa
Tanzania Bara zilizofanyika leo kiwanjani hapo mgeni rasmi akiwa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli
Vijana wa Vikosi mbali mbali vya majeshi ya Ulinzi
wakiimba kwaya ya wimbo maalum katika sherehe za sherehe za miaka 55 ya Uhuru
wa Tanzania Bara zilizofanyika leo katika uwanja wa Uhuru Jijini Dae es Salaam,
mgeni rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe
Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe
Magufuli alipokuwa akizungumza na Viongozi,Wananchi na wageni mbali mbali
katika sherehe za sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika
leo katika uwanja wa Uhuru Jijini Dae es Salaam
Kikosi cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ
kikipita katika Jukwaa kubwa la Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam katika
sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika leo kiowanjani hapo
mgeni rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe
Magufuli.
[Picha na Ikulu.]09/12/2016.
0 Comments